Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kuhusu wanawake wenye nywele fupi wana sifa zao pia pekee,,kuna siku nilikuta mjadala wa namna hii mtandao mmoja hv[emoji2][emoji2][emoji2],,nilicheka sanaSisi wengine tunapenda za hivyo.Huo nao ni urembo.