Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kwema siku ukiwa tayari kufunga ndoa niambie nikuelekeze kuhusu Taraka katika UislamuAh,,ok sawa mkuu
Kwema lakn
Kwema siku ukiwa tayari kufunga ndoa niambie nikuelekeze kuhusu Taraka katika UislamuAh,,ok sawa mkuu
Kwema lakn
Kwa mara ya kwanza nilikua tayari kuishangilia Man U, lakini wapi.Ilikua ni ManLiver United vs Man City
Ngoja tuwasubiri wavaaji wa hayo mawigiYanauzwa sh. ngapi haya?
View attachment 1080729
Siyapendagi haya ila basi tu...Ngoja tuwasubiri wavaaji wa hayo mawigi
Wemepigwa pasi[emoji23][emoji23]Wanyiramba wakoje?
Picha puliziii...
Mkeo sio mpenzi wa haya mawigi. Binafsi nikiweka wigi yaani sekunde kichwa kinawasha vibaya hata kama nitaosha vipi nywele nimeamua niwe na nywele fupiSiyapendagi haya ila basi tu...
Hilo darsa utalitolea wapi mkuuKwema siku ukiwa tayari kufunga ndoa niambie nikuelekeze kuhusu Taraka katika Uislamu