Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yap! Hasa huyo Pogba.

Ole alipokuja kulikuwa na placebo effect fulani. Motivation feki. Watu wakajituma sana. Lakini timu ni ile ile. Matatizo yale yale. Bashasha imeisha na mambo yamerudi kule kule. Ole Gunnar aangalie sana...
Watu wame ispot hiyo issue, Ole pia amesema sana juu ya mafanikio yake bila baadhi ya wacheza wa sasa UNITED.

Tusubiri.
 
Bro bro bro hawa maslay queen wana hizo akili za ubahili acha kabisa watu wanazichomoa kilaini wigi teyar kichwani hapo bado pochi bado viatu. Domo kaenda lalamika ujinga ila kinachomuuma kachomolewa noti nyingi za viwalo na mawigi
Acha tu nijikite kwenye kilimo cha nyanya hapa Koromije moja. Zisi izi tuu machi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hako kaugonjwa sijawahi kuwa nako bali ka kusoma sex stories only. Video zinanizingua wakimaliza naanza jiona vibaya dhambi si dhambi daah ndo maana sipo JLW
Esta bana...[emoji16][emoji16][emoji16]

Eti dhambi si dhambi...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ni muhimu sana kuisikiliza hiyo sauti inayokuhumu. Inamaanisha kuwa jambo unalolifanya siyo jema na inabidi kuachana nalo. Wanasema hiyo conviction ndiyo roho yako. Nafsi yako. Roho Mtakatifu. Hulka. Nafsi. Ndiyo wewe mwenyewe hasa. Kuna watu hawana hiyo sauti/conviction. Hawa hawana shida ya kuua, kubaka, kuiba na kutenda maovu ya kila aina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…