Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Spurs bado haijawahi kubeba ubingwa wa michuano hiyo ya Ulaya, hivyo wanapambana kwa nguvu zote kupambana kuubeba ubingwa huo ambapo kwenye hatua hiyo ya nusu fainali watakuwa na shughuli pevu ya kuwakabili Ajax Amsterdam ya Uholanzi ambao kwa sasa wanapiga soka la kiwango cha juu sana.
 
4. Leeds United – mara 3

Kwa sasa Leeds United ipo huko kwenye michuano ya Championship. Ilishushwa kutoka kwenye Ligi Kuu England. Lakini, kwenye zama zake, kikosi hicho kilikuwa moto kwelikweli na kuweka alama zao kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kikifanikiwa kufika nusu fainali mara tatu tofauti
 
Bahati mbaya hawajawahi kushinda ubingwa huo, huku mara yao ya mwisho kufikia hatua hiyo ya nne bora ilikuwa kwenye msimu wa 2000/01 ma baada ya hapo mambo hayakuwa mazuri kwenye Ligi Kuu England na matokeo yake wakashuka daraja la chini.
 
3. Chelsea – mara 7

Huko nyuma kabisa, Chelsea ilikuwa klabu moto kabisa kwenye Ligi Kuu England, lakini haikuwa na nguvu ya kupambana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya hadi hapo alipokuja bilionea Roman Abramovich na kuichukua timu hiyo kuwa chini yake.
 
Not athletic.. Just normal
exercises now and then
...Sina Mwambwax jameni... Flatskrini...
Vingine umesahau kuweka...
I have been feeding the data for those who concentrate only 😉
 
3. Chelsea – mara 7

Huko nyuma kabisa, Chelsea ilikuwa klabu moto kabisa kwenye Ligi Kuu England, lakini haikuwa na nguvu ya kupambana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya hadi hapo alipokuja bilionea Roman Abramovich na kuichukua timu hiyo kuwa chini yake. 3. Chelsea – mara 7

Huko nyuma kabisa, Chelsea ilikuwa klabu moto kabisa kwenye Ligi Kuu England, lakini haikuwa na nguvu ya kupambana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya hadi hapo alipokuja bilionea Roman Abramovich na kuichukua timu hiyo kuwa chini yake.
 
Maisha ya Chelsea chini ya bilionea huyo wa Kirusi yalibadilika na kuwa matamu ambapo kwa kuanzia mwaka 2003, Chelsea imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara saba na walipiga hatua ya juu zaidi katika msimu wa 2011/12 walipobeba ubingwa baada ya kuwachapa Bayern Munich kwa mikwaju ya penalti. Nusu fainali yao ya mwisho ilikuwa 2013/14 wakachapwa na Atletico Madrid.
 
Not athletic.. Just normal
exercises now and then
...Sina Mwambwax jameni... Flatskrini...
Vingine umesahau kuweka...
I have been feeding the data for those who concentrate only [emoji6]
Huweki data zote kwa wakati mmoja. You let the algorithm feed itself...baadaye sana ndiyo unajazilizia jazilizia mapengo kama yapo...huku ukiangalia kama data zako ziko sawa...

Nihamie kwenye psychological profile sasa ama?
 
myoyambendi hizi comment zako zinazoanzia neno poleni zinanichekesha sana.
kwa pamoja
poleni mashabiki wa manchester united
poleni mashabiki wa arsenal
poleni mashabiki wa liverpool
apewe pole dada yake meok goo mpenda wali kwa fedha ya governor
Hahahahaha damushin bana,nimekamiss kweli ka meok goo .
 
2. Liverpool – mara 11

Ushindi wa mabao 6-1 ya jumla dhidi ya FC Porto kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu umewafanya Liverpool kufika nusu fainali ambapo katika hatua hiyo watakabiliana na vinara wa La Liga na wababe wa Manchester United, Barcelona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…