Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jifunze Kuwa Na Raha.

Ukweli ambao haujaongelewa unaweza ukakufanya ujisikie hofu kidogo. Raha inaweza kukufanya utembee bila viatu. katika maisha yaliojaa mambo yasiotegemewa, furaha inaweza kuwa ya muda mfupi na inaogopesha hata kuamini wakati mwingine.
 
Mara nyingi – hata bila ya kutambua – tunaacha yaliopita kimya , kindani ndani katika raha na kutafuta furaha. kwa mfano. tunapojisikia vizuri kupongezwa au kusifiwa kwa jambo fulani tunasikia raha. tunajaribu kupunguza hisia zetu, kwa kile ambacho tumekisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…