Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabao ya Wolves ambao wamekuwa wababe kwa vigogo wa Top Six msimu huu, yalipachikwa na Ruben Neves, Matt Doherty na Diogo Jota.
Katika mechi nyingine ambayo ilikuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi, kama ilivyotarajiwa na wengi kwamba, Man City ilikuwa inakwenda kupata ushindi kwenye mchezo huo, huku mashabiki wa Man United wakiweka bayana kwamba, haitawauma hata kama watapoteza mchezo huo.
 
Kipindi cha kwanza, timu zote zilicheza kwa kushambuliana kwa zamu huku Man City wakionekana kumiliki zaidi mpira, lakini hadi mapumziko matokeo yalikuwa sare.
Kipindi cha pili, kiliwachukua Man City dakika tisa kupata bao la kuongoza kupitia kwa Bernado, baada ya shuti lake kumshinda kipa David De Gea.
 
khanyidhlomo___Bn6oF7Qnf_g___.jpg
 
Back
Top Bottom