myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ana kiburi kile cha kiafrika kabisaaa. Kile cha pata hela tujue tabia yako. Kisa kanyanyua world cup basi anajiona kafika hakuna wa kumpangia chochoteAna nyodo sana. He is a cancer to the locker room...Nyodo alizomfanyia Mourinho naona ndo anataka kuzianza pia kwa Ole. Utafikiri siyo yeye aliyekuwa all smiles juzi juzi hapa wanashinda.
Hey There,Adversity introduce a man to himself