Wanapatikana mbuga mbalimbali barani Afrika, ingawa inadhaniwa kuwa Tanzania ina hazina kubwa ya Twiga kuliko popote barani humu, kwakuwa ncini Tanzania Twiga hayupo kwenye orodha ya wanyama wanaowindwa kisheria.Ahsante kwaa ufafanuzi Bro, napenda sana kumtizama Twiga. Alikuwa akipatikana Tz tuu, si ndio Chief??
Nikiwa Tanzania ishaalah nitafika ngorongoro
[emoji16][emoji16]Wakija nakaaga kimya mpaka wanaondoka. Wale siyo wa kuchezea. Wanaweza kukujia na matarumbeta na Mchiriku juu. Otenativu hapo ni kulala mbele tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwizi kwao hapigwi anasemwa mpaka kifo kinamfika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu pulizi usimuite...Haahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Wapi carbamazepine[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ubarikiwe mpendwa umenishawishi nije kujioneaSimba ana uwezo wa kuua wanyama wote wa porini, maana yeye amejaaliwa maarifa mengi kwa kuwa nyama ndiyo tegemeo la uhai wake, hata hivyo huwinda baadhi ya wanyama kwa timing.
Kuna wakati Simba hufa kutokana na mashuti ya Twiga, pembe za nyati, meno ya nguruwe pori nk
Nimeshasema hiyo ni westeji ofu risosizi tu ze max [emoji16][emoji16][emoji16]Mi ni kusalimia tu ...
Mimi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
DuuuuItabidi aende na mzigo wa maua na mapipa ya red wine wakategane [emoji16][emoji16][emoji16]
Nshomile eehWalishakuharibia nini nawe nshomile?
Acheni chuki za kikabila !!!
Huenda, huwezi jua[emoji16][emoji16]Huyu mgumu anategeka kweli? [emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣Mkuu pulizi usimuite...
Niko chini ya miguu yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Nshomile eeh
Amezimishwa.
Basi Yego wagumu wamezuia nisidailyuti ugumu wakoNimeshasema hiyo ni westeji ofu risosizi tu ze max [emoji16][emoji16][emoji16]
Na inaonekana mpambano ulikuwa mkali.Amezimishwa.
Nyati akikasirika hulia kwa machozi, hapo kinachofuta ni ama zako ama zake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu pulizi usimuite...
Niko chini ya miguu yako [emoji16][emoji16][emoji16]