Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Weweee. Utajikosesha iPhone. Tengua kauli [emoji16][emoji16][emoji16]Humu hamna wa kishua wote wa uswazi tu.
Umri tatizo astaafu tu soka mazimaNaona kiwango chake kimeshuka
[emoji16][emoji16][emoji16] Bro bana....halafu leo sijakusalimia kumbe.....Shikamoo Kaka ake mpendwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1083312
Huku kwema sijui pande hizoMarhaba jumapili inasemaje
Akija mi naondoka...Dave usiache kitu ongezea na kabobo za kutosha
Hahahahaa bwana harusi hataona hapoWeweee. Utajikosesha iPhone. Tengua kauli [emoji16][emoji16][emoji16]
wewe ni mchaga eeeehππππAwamu hiii uokote hela yelewiiiiiiii
Ukiondoka tutajaza na chumvi na pilipili za kutoshaAkija mi naondoka...
Sawa na kale kakurugenzi ka TRM...
Hovyo kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Chiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23]wewe ni mchaga eeeehππππ
Umejishtukia eeeh?[emoji16][emoji16][emoji16] Bro bana....halafu leo sijakusalimia kumbe.....Shikamoo Kaka ake mpendwa
Humu hamna wa kishua wote wa uswazi tu.
Sawa tu. Na nikija wala sihangaiki kufukua makaburi. Mtakuwa mmejisema wenyewe tu...Ukiondoka tutajaza na chumvi na pilipili za kutosha
πππππHahahahahChiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23]
You made my day pia Bro...uwe na siku njema pia.Umejishtukia eeeh?
Apewe shikamoo mwingine kweli mi nikose? No wei wallahi.
Marahaba sis. Natumaini kuwa Jumapili yako inaendelea vyema. You made my day. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23]kuwa makini bro asikuchanganye akiita kaisiki nawe unakusanya tu hahaπππππHahahahah
Nakusanya vinasaba πππ
Hahahahaa aiseee mie siwez kha kama busara zifilie mbali tuSawa tu. Na nikija wala sihangaiki kufukua makaburi. Mtakuwa mmejisema wenyewe tu...
Ila lazima nifuatilie nione mtanange. Ishu za kukaa kimya eti ukikaa kimya ndiyo sijui una busara zikafie mbali huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Anajifanyaga...I canβt believe hata wewe Binti Mpole ni wa uswazi