Uswazi kabisa,hakuna cha uzungu hapaI can’t believe hata wewe Binti Mpole ni wa uswazi
Weuwee kizungu chenyewe humu napiga cha kajamba nani ,hizi keyboards zinadanganya bro usiamini ooohooooAnajifanyaga...
Kuna siku tulikuwa tunajadili humu maharage mabovu ya sekondari alikosea akasema kuwa yeye hajawahi kusoma shule za boarding wala za serikali. Nilipojaribu kuulizia alisoma wapi akapotezea. Likely kasoma International Schools huko Kenya au Uganda na BSC kapiga Cambridge.
Siyo mwenzetu huyu bro...
CHAWAMITA njoo kwangu...Numbisa nikihitaji ofisi za CHAWAMITA nimwone nani?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]You made my day pia Bro...uwe na siku njema pia.
CHAWAMITA kinasimama badala ya nini.Natafuta nafasi ya m/kiti kivuli sema bado sijajua chama.CHAWAMITA njoo kwangu...
CHACHAWA pia njoo kwangu...
Anaza kwesheni?
Chama cha wapenda misambwanda TanzaniaCHAWAMITA kinasimama badala ya nini.Natafuta nafasi ya m/kiti kivuli sema bado sijajua chama.
Barcelona imetwaa ubingwa wa 26 wa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Levante shukrani kwa goli la Lionel Messi.
CHAWAMITA - Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania...CHAWAMITA kinasimama badala ya nini.Natafuta nafasi ya m/kiti kivuli sema bado sijajua chama.