Bro, wewe post mimi ntaunga juhudi mkono kwenye 'Golikeme'ππUnaniangusha bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Unadumisha milaMi mmasai bana nasema mi mmasai welcome hahaa
πππLakini naona anakanusha
Davet popote ulipo embu nipe hiyo skendo ya SYB
Hahahaha hiyo imetungwa mm siaminiNilisingiziwa eti nilibeba mrembo hapa JF haooo tukakwea pipa tukaenda kula bata kwenye hoteli moja ya nyota tano huko Nyanda za Juu Kusini kwa wiki nzima. Du yu bilivu zisi lai bro?
HahahahaDave usiache kitu ongezea na kabobo za kutosha
Sijui tatizo ni nini kwa hawa jamaa alafu kwenye Europe wapo na ValenciaAseno timu yangu imeanza kunifurahisha tena. This is good [emoji122][emoji122][emoji122]
Kuanzia mei mosiAkina Mangi na Nshomile wameshachangamkia fursa. Wanyakyusa wenyewe mh !!!
View attachment 1083316
Rihanna ,,,fundi chelehani huyu matata kweli kweli
Thenki yuuuu.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahaha hiyo imetungwa mm siamini
Salama bro, natumai wewe pia.Habari za jumapili rafiki
Hahah walinipiga mzunguko wa kwanza hivyo hawawezi tena kurudia, alafu usisahau na wewe una WolvesHawa jamaa wanaweza kunipigia city