Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4- Mwaka 2012 Lionel Messi alifanikiwa kuvunja rekodi ya Muller ambaye alikuwa amefunga jumla ya goli 85 kwa mwaka, rekodi ambayo ilidumu toka mwaka 1972 ila Lionel Messi mwaka 2012 amevunja rekodi hiyo kwa kufunga jumla ya magoli 91 katika mechi za mashidano yote na kuvunja rekodi iliyodumu kwa miaka 40 bila kuvunjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…