Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana bro...Ndio bro,na fatigue si ya polepole,,usifikilie tofauti lakini [emoji16][emoji16][emoji16]
Huchelewi kusema semitrela[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana bro...
Wakati mwingine ni muhimu kuusikiliza mwili unasemaje. Na sijafikiria vingine kabisa bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Na popote atakapoenda mambo ni yale yale tu. Ni wale huwa wanaitwa cancer in the locker room. Selfish to the core...Huyu ni kirusi sana
We make a living by what we get, but we make a life by what we give.
Kama unaenda kuburuza semi trela basi usisahau kuleta mrejesho kesho. Utakuwa umechoka vibaya sana. Usikubali likulalie yasije yakawa mengine [emoji16][emoji16][emoji16]Huchelewi kusema semitrela[emoji16][emoji16][emoji16]
Ok sawa bro!!
Nimebinya kende huku
Nimebinya kende huku
Hayo ma K Vant unayogonga naona yameanza kupanda kwenye Medulla Oblongata kamanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ sawa sawaGoli zuri sana najua hawa mchekea kwenu till final day bado tupo kwenye race
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa kwenye msiba majuzi mtu anakoroma huyo hakuna aliyelala
aisee kweli Pasaka imeisha tumeanza ukurasa mpyaSawa kamanda
Aguero
Huyu jamaa ni hatari sana mzee, Ile game ya CL pep alimpiga bench akamuanzisha Mahrez basi ndipo alipokosea hapoBernardo Silva mpambanaji sana
HahahaAnaipandia ndege kabisa
π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chama gani utaongoza mwenyewe kama lipumba,mtupiemo moud humo au mzee wa liver(ila huyu kwa kuonja ni shida mtakua mnasuluhisha migogoro kila siku)