MorningMorning
Maskin daah namhurumia mtotoIla kweli dogo dalili dalili zote anazo.
Hahahahhaa bado moud hajakufikia bro kule kusini,anastahili cheoUmtu poa wake sisi unatuhusu nini? Unafikiri huko kwenye mbuga za wanyama anaendaga peke yake? Hebu mtuwache watu tusije tukafunguka hapa mkaishia kushangaa [emoji2221][emoji2221]
Aaah tulia basi huoni nakulindia cheo chachawaDuuu, kama kweli mgumu tutona tu..
Uzuri wa jf ukizinduliwa kila mmoja atajua