Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"



Kimsingi jibu ni hapana japo kunaweza kuwa na vighairi (exceptions) za hapa na pale. Papa ndiyo inaendesha dunia. Bila papa hakuna maslei kwini...Papa is everything [emoji16][emoji16][emoji16]
Papa ndiyo huleta kifo, papa huangusha himaya, papa huwafanya watu watafute mkwanja kibabe. Mi simo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimbe huyo naona wamemkomalia balaa na matusi ya Kisukuma.

Tatizo hawa jamaa ndiyo wengi na msipoangalia watawapa taabu sana. Tena siku hizi ndo wanaamka sasa baada ya kusoma soma. Ndiyo kunakucha. Batombaning'we !!!
 
Nafikiria kuchukua uanachama tena wa CHACHAWA naona kuna memba wanataka waongezwe afu hawana vigezo
#PotMUstGo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uenyekiti unakufaa bro [emoji109][emoji109][emoji109][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#PotiMastiGo [emoji818][emoji818][emoji818]
 
Back
Top Bottom