Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nini tafisri ya ndoto hii? Wafafanuzi wa ndoto mtusaidie.
 
Ukiamka na kulala tena yaweza kukujia ndoto hii;
MAWIO JUNE 2022
Mahakama ya rufaa ya Jamhuri ya Tanganyika imetupilia mbali rufani ya Daud Bashite na wenzake 7 na kukazia hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa mauaji waliyofanya kwa wanasiasa na wanaharakati wanne na utekaji nyara kwa watu kadhaa
 
Hahahaha, jamaa mbona unatutisha
 
Kumbe jamaniiii
 
Ndoto yako nimeipenda lkn hapo kwenye ikulu badala ya kusema Dar es salaam ungesema ikulu Chamwino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…