Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kadri unavyokazana kutumia Wi-Fi ya ofisi ku download movie ndio dada wa kazi anavyokazana kuchemsha maharagwe kwa gesi nyumbani[emoji22][emoji22], Amini nakwambia malipo ni hapahapa duniani*[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀 Kuna mwenzangu ametoka kuniambia hii halafu 5 mn after nikakusoma hapa🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…