Safi karibuMambo
Kati ya Pazi na Vijana Bulls, ulikuwa upande gani! Au mpenzi wa Don Bosco Mkuu!
Sawa mkuu, nitajitahidi kufuta ushauri wakoUkitaka kuishi vizuri na watu, jaribu kuishi kama walivyo na si kama Ulivyo
Kitambo sanaMkuu nilikuwa pazi uwanja wetu gymkana pale wameweka hoteli sasa hivi long time mother fu***
Bahati mbaya zaidi mpaka sasa inaonyesha tutaukosa ubingwa kwa pointi moja tu.Kukosa EPL msimu itaniuma sana
Katika dua zako muombe sana Mungu unapo yaona Mafanikio ya wenzio yakujanze changamoto,yasikujaze Chuki na tamaa.
Unamkumbuka Abasi, Siwatu waliokua timu ya Vijana?
Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu ujue nilikulengesha, nilidhani wewe ni Bahati Mgunda. Basi wewe utakuwa jamaa mmoja alikuwa anaitwa Yassin Msira, huwezi kuwa Gamba Kwa watu wa kutoka pande ile, wale walikuwa wakubwa enzi hizo! [emoji23][emoji23]
Tuheshimiane japo sio lazima lakini inapendeza tukiheshimiana, Ukijitoa fahamu na kunivunjia heshima nitakutoa maana na kukuepuka.
Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
PoaMambo
Haya sawa [emoji120][emoji120][emoji120]Tuheshimiane japo sio lazima lakini inapendeza tukiheshimiana, Ukijitoa fahamu na kunivunjia heshima nitakutoa maana na kukuepuka.
Sasa ukiishi kama walivyo utakuwa unaishi maisha yao au maisha yako? Ushauri huu haufai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ukitaka kuishi vizuri na watu, jaribu kuishi kama walivyo na si kama Ulivyo
Aliishi narung'umbe st, nadhani pia alikuwa captain wa timu ya taifa ya BasketballAbbas Mansour wa Pazi? Namkumbuka huyu, alikuwa anakaa mitaa ya Kariakoo! Huyu ndio angepata bahati ya kucheza NBA kama alivyoipata yule ngongoti angefika mbali sana. Alikuwa anajua kuudunda, si mchezo! [emoji23][emoji23]
Nothin'What’s cracking, Bro? [emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] Unapanga mapinduzi?Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Rudisha mafaili na pesa za chama vinginevyo tutakufikisha mbele ya sheria
Andaeitini mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Rudisha mafaili na pesa za chama vinginevyo tutakufikisha mbele ya sheria
Raila na Uhuru inawahusu kabisa hii...[emoji2][emoji2]Afrika ni pasua kichwaView attachment 1084275
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]... Mwenyekiti hatishiwi bana. Bado tunapitia mafaili yako, tutakupa hata ujumbe wa Kamati Kuu tukiridhika na tutakachokiona kwenye hayo mafaili!
Sawa Kaka Shimba wa BuyenzeSasa ukiishi kama walivyo utakuwa unaishi maisha yao au maisha yako? Ushauri huu haufai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]