Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ulivyo mtamu kabichi ulipike na nyama 😋😋😋😋😋
Ulivyo mtamu kabichi ulipike na nyama 😋😋😋😋😋
Kanda ya Ziwa tu hapo na Mbeya kidogo.Jamaa wanasema eti itabidi kuangalia hata miguu. Bongo kwa maneno dah !!!
View attachment 1084324
We umeanza kuongezea na visivyomo. Ni ugali na kabichi siyo ugali, kabichi na nyama [emoji16][emoji16][emoji16]Ulivyo mtamu kabichi ulipike na nyama [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dah aisee!
Inaweza kuwa yeye ndiye anatongozwa. Haya mambo ni magumu...
Heeee, Yanga nao mwaka huu wanakula viporo?
😀😀😀😀😀😀Wew sio mpishi tulia,Kuna msemo Mchele mmoja mapishi mbalimbali umenielewa.We umeanza kuongezea na visivyomo. Ni ugali na kabichi siyo ugali, kabichi na nyama [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni ugali na kabichi.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wew sio mpishi tulia,Kuna msemo Mchele mmoja mapishi mbalimbali umenielewa.