Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola aliwahi kusema kwamba Juventus, Bayern Munich na Barcelona ni timu bora sana kwenye ligi zao, hivyo huwezi kuona kitu cha kushangaza wanapobeba ubingwa kila mara katika kipindi cha miaka 10 ya hivi karibuni.
 
Maneno yake hayo yalikosolewa sana kwa sababu tu hakuwajumuisha Real Madrid, lakini ukweli wa mambo ni kwamba wababe hao wa Bernabeu makali yao ni kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na si kwenye ligi za ndani. Juventus, Bayern Munich, Barcelona na hata PSG wao ni wababe wa ligi za ndani na ndio maana hata msimu huu watatamba kwenye ligi zao za Serie A, Bundesliga, La Liga na Ligue 1.
 
Maneno yake hayo yalikosolewa sana kwa sababu tu hakuwajumuisha Real Madrid, lakini ukweli wa mambo ni kwamba wababe hao wa Bernabeu makali yao ni kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na si kwenye ligi za ndani. Juventus, Bayern Munich, Barcelona na hata PSG wao ni wababe wa ligi za ndani na ndio maana hata msimu huu watatamba kwenye ligi zao za Serie A, Bundesliga, La Liga na Ligue 1.6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…