Jana ilikuwa hatari. Kwema huko bro?Nimemaliza viporo.Jana uzi ulikimbia sana.
Siku hizi kila mtu jiniazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi kila mtu jiniazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Jibu hapo ni ziro [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Na ukiweza kujitoa katika huu mtego aisee utaishi maisha ya furaha sana. Hata wenye ma- Range Rover yao watakuwa wanakushangaa wewe mwenye kiCorolla mbona upo tu kivyako vyako na una furaha hata kuwazidi?View attachment 1084383
You nailed it, Bill Murray!