Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema kabisa mkuu. Idodomya mnasemaje?Mkuu habari yako
[emoji16][emoji16][emoji16]Na mimi nina bahati. Demu wangu alikuwa na limsambwanda la kufa mtu lakini alikuwa akiona linalomzidi hata kama sipo analipiga picha na kuja kunionyesha...
Eti babe. Unafikiri huu mtako unazidi wa kwangu?
Hebu sogea hapa nilinganishe vizuri
Hapana mi sisogei. Najua nikisogea yatakuwa mengine...
Tunacheka na kufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanamke Guu bhana[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Medie Kagere ana miaka 51 mkuu, ila huyo mwandishi hana ukongwe wowote
Hiyo ndiyo Ubungo ya 2020 [emoji41][emoji41]
Kiporo kipi kilichochacha mkuu?Hahaha vp khs zile tuhuma za wale marefa bro,leo pia kiporo kimechacha
Hahahahahaha, walidanganyika, wanaendelea kudanganyika kwa pupa zao.Tena kama anauliza haya maswali wakati wa kunyanduana salaleee ni fiksi tu mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu ukristo unaruhusu maiti kupigwa moto?Mi nimeshaandika will. Nitapigwa kiberiti. Funza hawanipati ng'o !!!
Kwani najali basi kamanda?Mkuu ukristo unaruhusu maiti kupigwa moto?
Mbona mapema bro?Good Night Guys.
Kama la Wema [emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamke Guu bhana[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kesho au kesho kutwa nitakuja na proposal za wazee kuhusu mahari. Jiandae !!!Babe, Have you been Well?
Nam-join wife Bro,
Hivi nimechelewa ilitakiwa Saa 4:00 niwe nimelala. Si unajua vile dada ako alivyo lakini?