Asee, kweli.Chuga Mkuu
Post yako imenisikitisha sana Bro. DuhWapendwa;
Safari hii lazima niage. Vinginevyo King Davet atanizushia kila aina ya skendo.
Naingia chimbo muhimu sana na sitaweza kuwa hewani hapa kufurahi na kutaniana kama nilivyozoea. Nyinyi ni sawa na familia na naamini nitawamisi sana.
Mungu Akipenda Tutaonana tena terehe 31 Mei 2019. Nawapenda sana na bakieni katika mibaraka na uangalizi wa Mungu wetu.
View attachment 1085178
#HakunaNyandazaJuuKusini
#Sijanyang'anywaNywila
#MsisikilizeUwongowaKingDavet
#MajukumuyaKazi
#MwanaumeKupambana
#WanaumeTumeumbiwaMateso
#KupambanakwaAjiliyaFamilia
#Sijazinduliwa
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu wa mkoa anapalilia kibarua chake hapo 😀Rais Dk. John Magufuli amesema anatamani vyama vingi viendelee kuwepo ila CCM ndiyo ishinde wakati wote. Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kusema haoni haja ya kuwa na vyama vingi hivyo kiwepo chama kimoja kinachoitwa ‘Magufuli Ruling Party'
😳😳😳
Bradha kawa na jicho la kipanga mzee baba naona huyo mtu hapo chini kuna izo darubini kaziweka kwapani aisee!View attachment 1085246
Yes!
5+(5*2)
5+10
15
BODMAS hapo poti!
QED... a.k.a, Question Easily Done! [emoji23][emoji23][emoji23]
All the best Bro na Mungu akutangulie huko uendako.Wapendwa;