Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipa wa Manchester United Dean Henderson - ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United - anatarajiwa kuanza mazungumzo kuhusu hatma yake ya Old Trafford lakini atataka kusalia katika uwanja wa Bramall Lane msimu ujao. (Express)
 
Bongoland
FB_IMG_1556656602267.jpeg
 
TANZANIA...... you ready this Saturday the 4th of May? (MD) mkuu wa wilaya ya temeke (DC) akishirikiana na mmi balozi wa @softcarediapers 'jumamosi hii nitarudisha tabasamu mwanana kwa watoto wote tanzania bila kusahau akina mama na wadada pia😍usijiulize ni wapi hii,ni kwa wakazi wa Mbagala hospital na viunga vyake vyote👌kuanzia saa tatu kamili asubuh na mimi balozi wako bila kusahau team nzima ya #softcarebabydiapers 👌👌usikubali kuhadithiwa maana kuna mengi mazuri yatakuwepo live kabisa✌tukitoka mbagala moja kwa moja mpaka BABYSHOP MLIMANI CITY kuanzia saa nane kamili mchana ambapo kutakuwa na mambo mazuri haswaa😉UKIKOSA UTALAMBA LOLO #softcare #babydiapers #softcarepads
58409256_192268915085409_2133971433645588868_n.jpg
 
Rais Dk. John Magufuli amesema anatamani vyama vingi viendelee kuwepo ila CCM ndiyo ishinde wakati wote. Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kusema haoni haja ya kuwa na vyama vingi hivyo kiwepo chama kimoja kinachoitwa ‘Magufuli Ruling Party'

😳😳😳
 
Unafiki ni kitu kibaya na hatari sana kwa Taifa letu.

Rais Dk. John Magufuli amesema anatamani vyama vingi viendelee kuwepo ila CCM ndiyo ishinde wakati wote. Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kusema haoni haja ya kuwa na vyama vingi hivyo kiwepo chama kimoja kinachoitwa ‘Magufuli Ruling Party'

😳😳😳
 
TANZANIA...... you ready this Saturday the 4th of May? (MD) mkuu wa wilaya ya temeke (DC) akishirikiana na mmi balozi wa @softcarediapers 'jumamosi hii nitarudisha tabasamu mwanana kwa watoto wote tanzania bila kusahau akina mama na wadada pia[emoji7]usijiulize ni wapi hii,ni kwa wakazi wa Mbagala hospital na viunga vyake vyote[emoji108]kuanzia saa tatu kamili asubuh na mimi balozi wako bila kusahau team nzima ya #softcarebabydiapers [emoji108][emoji108]usikubali kuhadithiwa maana kuna mengi mazuri yatakuwepo live kabisa[emoji111]tukitoka mbagala moja kwa moja mpaka BABYSHOP MLIMANI CITY kuanzia saa nane kamili mchana ambapo kutakuwa na mambo mazuri haswaa[emoji6]UKIKOSA UTALAMBA LOLO #softcare #babydiapers #softcarepadsView attachment 1085226
Lolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Justice Department officials say in a letter and subsequent phone call, Mueller said Barr's March 24th letter, a four-page description of what Barr called the report's principal conclusions, did not fully capture the context and substance of the more than 440 page document.
 
Back
Top Bottom