Wapendwa;
Safari hii lazima niage. Vinginevyo King
Davet atanizushia kila aina ya skendo.
Naingia chimbo muhimu sana na sitaweza kuwa hewani hapa kufurahi na kutaniana kama nilivyozoea. Nyinyi ni sawa na familia na naamini nitawamisi sana.
Mungu Akipenda Tutaonana tena terehe 31 Mei 2019. Nawapenda sana na bakieni katika mibaraka na uangalizi wa Mungu wetu.
View attachment 1085178
#HakunaNyandazaJuuKusini
#Sijanyang'anywaNywila
#MsisikilizeUwongowaKingDavet
#MajukumuyaKazi
#MwanaumeKupambana
#WanaumeTumeumbiwaMateso
#KupambanakwaAjiliyaFamilia
#Sijazinduliwa
Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]