Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Messi kapambana sana kumfikia ronaldo
 
Wachezaji wa Kingue FC, hawakukubali kocha wao kudharirika waliamulia ugomvi kisha kusimamisha mechi kwa muda ambapo walifanya zoezi la kuchangisha pesa kumpatia mwanamke huyo.
 
Walifanikiwa kujichangisha Sh 5000 kisha walimpatia mke wa kocha wao kwa upendo baada ya kupokea pesa hizo aliwashukuru wachezaji kisha alienda kumuuliza mume wake akamwandalie chakula gani, jambo lililowashangaza wengi.
 
Hata hivyo kocha huyo alionekana ni mwenye kinyongo kwani hakutaka kumjibu chochote zaidi ya kumtazama ingawa alishauriwa amalize tofauti na mke wake, wakimsisitiza mikwaruzano ni jambo la kawaida.
 
Mechi iliendelea huku timu zikionyesha ushindani wa hali ya juu, lakini kocha wa Kingue FC akionyesha hana morali ya kuhamasisha wachezaji wake kama mwanzo, baadhi wakimtathimini kama ana machungu na kile alichofanyiwa na mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…