mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mpira una maajabu yakeHapo kwa upande wa maajabu ila kiuhalisia bado ni ngumu
Mpira una maajabu yakeHapo kwa upande wa maajabu ila kiuhalisia bado ni ngumu
Hakika kila mtu kaelewa show paleHata klop amemkubali messi jamaa ni genius kwenye soka
Messi ana assist 283Duh! Hiyo ni goals scoring machine, Tofauti ya mechi 100+
Alafu hapo ukipigiwa hesabu na assists lazima ushangae muda gani anascore na muda gani anaassist
VVD mwenyewe kanyanyua mikono kwa jamaaHakika kila mtu kaelewa show pale
View attachment 1086770
Klopp [emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
View attachment 1086772
VVD [emoji121][emoji121]
NiceHahahaha mkuu sikuwa mafichoni nipo kama kawaida Jana nilikuwa natoka katavi nakuja Dodoma mkuu hata game sijaoina nategemea Leo niangalie Recorded mm napenda sana soka sijali kufungwa kwetu tumefungwa na timu bora na ipo kwenye ubora zaidi kwa sasa
Nikweli mkuu na huo upande wa maajabu ndio mnautegemea zaidiMpira una maajabu yake
Hakika Mungu ni mwema wakati woteMungu ni mwema, Mungu ni mwema, Kila wakati Mungu ni mwema
Usihofu bro, hizi ni kejeli za mpira tuu.Nikajua jana ulikua na vidonda vibichi bado kumbe ulikua safarini.Haya pole safari mkuu.Hahahaha mkuu sikuwa mafichoni nipo kama kawaida Jana nilikuwa natoka katavi nakuja Dodoma mkuu hata game sijaoina nategemea Leo niangalie Recorded mm napenda sana soka sijali kufungwa kwetu tumefungwa na timu bora na ipo kwenye ubora zaidi kwa sasa
Maajabu umeniamkia hujamboShikamoo dada.
Sawa lakini sio kumwanzisha Gin ,kuna mastriker wawili pale walikaa benchi wangeanza tuHahah eti cha Tarime...
Lakini alisema R. Phirminho hakua fit kuanza ile game
He is on his own race 😀Messi ana assist 283
CR 7 ana assist 170+
Bado jamaa yuko miles away mm binafsi sioni wa kumlinganisha na lapruga
Hahah hakuna jinsi sasaVVD mwenyewe kanyanyua mikono kwa jamaa
Hata wale madogo wa ajax wako vizuri sanaAsante sana bro ila kama usipofanikiwa kupita hatua ya final naimani tutakua tunashabikia timu moja
YapAnother weekend
Ila kiufundi inasemekana jamaa alitimiza majukumu yake 95%Sawa lakini sio kumwanzisha Gin ,kuna mastriker wawili pale walikaa benchi wangeanza tu
Wewe siunasemaga ni mkongwe?Licha ya tume kusema kuwa bado upo under 18?Maajabu umeniamkia hujambo
Kweli wapo vizuri sana na wameshajitoa muhanga wameona wanaweza hivyo wanafanya watakavyoHata wale madogo wa ajax wako vizuri sana
Yes japo nimeandika ni mkongwe ila vijana mmegoma kunipa Shikamoo yanguWewe siunasemaga ni mkongwe?Licha ya tume kusema kuwa bado upo under 18?
Kwenye ukweli uongo ujitengaTunasubiri CR7 wa Numbisa aje kutoa kauli kama hizi.Maendeleo hayana chama.