mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Thanks God it's Friday
HahahahaNaona Salah anashuhudia uwanjani yale maufundi waliokua wanaoneshana kwenye tangazo la Pepsi
Hahah! Bro haya mambo ya ushabiki haya sioMuda wenu wa kuongea huu
Naona Messi anarekodi nzuri zaidi ya RonaldoTulia tulia bro ake bro. Ronaldo anaelekea kustaafu. Tusijemuumiza kwa kutaka afanye makubwa. Kama rekodi keshavunjaaaaaa
Hakika napata tabu sana kujua mchezaji bora wa karne ni naniHawa jamaa natamani wasistaafu milele maana burudani zao naimani hatutaziona tena katika ulimwengu wa Soccer.
Sent from heaven for special mission
Bado mkuu anfield ni fortress anything can happenTusubiri final tu hapo mzee
Hata klop amemkubali messi jamaa ni genius kwenye sokaMkuu ile kitu ni hatari sana kama unashabikia liver na una presha inaweza kukuletea shida kwakweli...
Alafu kuna mchambuzi kabla ya game nilisikia akisema alifatilia mazoezi ya Barca walikua wanafanya mazoezi ya kupige Mpira iliyokufa tu, sasa baada ya lile goli nikaona kabisa wenzetu hawabahatishi vitu
Shikamoo dada.😁Maombi makubwa kabisa maana humu ingekuwa "Amun Ra" za kutosha
Duh! Hiyo ni goals scoring machine, Tofauti ya mechi 100+Naona Messi anarekodi nzuri zaidi ya Ronaldo
600 goals katika mechi 683 incredible record
CR 7 600 goals ktk mechi 801
Messi si wa Dunia hii
Nimemwona mzee wa liver ametoka mafichoni.Namwona ana makovu matatu😀😀😀😀Bradha siku hizi umekua mtazamaji zaidi, vidole vyetu vinamiss posts zako
Golikipa bora kakutana na mchezaji bora kabisa
Sawa bro sisi mashabiki zako tunakusubiri kwa hamu 😂😂Aisee, sooon tarajia mambo mazuri.Nipo studio 😀 😀 😀 😀
Salama bro?
Hahah! alitukana Mamba kabla ya kuvuka mto sasa kilichomkuta ngoja atusimulie mwenyewe
Hahahaha mkuu sikuwa mafichoni nipo kama kawaida Jana nilikuwa natoka katavi nakuja Dodoma mkuu hata game sijaoina nategemea Leo niangalie Recorded mm napenda sana soka sijali kufungwa kwetu tumefungwa na timu bora na ipo kwenye ubora zaidi kwa sasa
Number don't lie broHakika napata tabu sana kujua mchezaji bora wa karne ni nani
Hapo kwa upande wa maajabu ila kiuhalisia bado ni ngumuBado mkuu anfield ni fortress anything cana happen
Hahahaha mkuu nipo 24 hrs ago naangalia post zenu na kuwapa likes nataka kujua mliongea nn bado kuna game anfieldHahah! alitukana Mamba kabla ya kuvuka mto sasa kilichomkuta ngoja atusimulie mwenyewe