Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mkuu sikuwa mafichoni nipo kama kawaida Jana nilikuwa natoka katavi nakuja Dodoma mkuu hata game sijaoina nategemea Leo niangalie Recorded mm napenda sana soka sijali kufungwa kwetu tumefungwa na timu bora na ipo kwenye ubora zaidi kwa sasa
Usihofu bro, hizi ni kejeli za mpira tuu.Nikajua jana ulikua na vidonda vibichi bado kumbe ulikua safarini.Haya pole safari mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…