Hahahaha sitegemei maajabu lakini game plan,na approach ya game inaweza kupindua matokeoNikweli mkuu na huo upande wa maajabu ndio mnautegemea zaidi
MambozYes japo nimeandika ni mkongwe ila vijana mmegoma kunipa Shikamoo yangu
SafiMamboz
Ijumaa Kareem
Habari za ijumaa FragariaHahaha.. Neema zake zinanitosha Mkuu.
Tatizo ni kwamba utaweza kumzuia Messi na genge lake wasipate goli?Hahahaha sitegemei maajabu lakini game plan,na approach ya game inaweza kupindua matokeo
HakikaYaliyopita si ndwele...View attachment 1086725
Na kwako mkuuIjumaa njema
Mimi nimeanza rasmi leo sema hujaitikia sasa πYes japo nimeandika ni mkongwe ila vijana mmegoma kunipa Shikamoo yangu
Amun RaJua linachomoza na matumaini mapya
Kweli kabisa.Wanasema uongo unapanda lift na ukweli uapanda kwa ngazi, ila ukweli ukifika juu uongo hauhimili.Kwenye ukweli uongo ujitenga
Nimeitikia ππangalia vizuri commentMimi nimeanza rasmi leo sema hujaitikia sasa π
Sema marahaba.Maajabu umeniamkia hujambo
Kweli ukiwa na away goal inakuwa nafuu kidogoTatizo ni kwamba utaweza kumzuia Messi na genge lake wasipate goli?
Kinachokupa ugumu kwenye game ya pili ni kutopata goli la away
MarahabaSema marahaba.