Nipe majina yako matatu nikuombee😉Niombee mkuu, naona una upako wa ajabu
Visima vyetu vya mafuta vipo wapi?
Marahabaaa hujambo kijana?Shikamoo dada.
Alinipa mwariko wa pm bro[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Duuu, umefika mpaka huko bro[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umekuwa baba mchungaji leoAsiyempenda ndugu yake ambaye anamuona
Hawezi kumpenda Mungu asiye muona..
Mia mia broThe naked truth.
Watu wanakua wanafiki wakisema wanampenda Mungu ilihali wakichukia waliowazunguka.
Swali zuri sanaJe, fedha za mtu aliyekufa zilizopo kwenye akaunti au simu hupotelea wap?
haaaaaa, sijambo.Marahabaaa hujambo kijana?
AiseeBaada ya kufuatilia, anasema walikuta Sh2 milioni kwenye akaunti ya Mpesa, Sh1.5 milioni kwenye Airtel Money na Sh980,000 kwenye Tigopesa. “Tusingekumbushwa, fedha hizi zingepotea,” alisema Elizabeth.
Hapo sawa kabisaMuda huo ukipita, BoT huzipeleka fedha husika kwa Msajili wa Hazina baada ya kuzipokea kutoka kwa watoa huduma. Lakini, endapo mteja wa akaunti atapatikana au mrithi wake kujitokeza na kukamilisha utaratibu wa mirathi, basi kampuni ya simu humsaidia kuzipata fedha za marehemu.
“Asipojitokeza kwa miaka 15 Serikali huzitumia,” alifafanua.
Gr8 MkuuPoa, niambie Kiongozi
Amun RaMungu atupe afya na uzima..