Hapo sauwa. Ila mmh dave si ununue miwani ya mbao uvae utaweza tu hahahahMasaa 12 bila kula wala kunywa ni ngumu sana ila inavumilika na kuzoeleka pia hiyo sio kesi sana, issue ni zile sheria zake ile funga iwe imekamilika. Wooi wooi wooi
Wewe ukilala ukipitiliza mda wa daku utapata taabu sana.Kwa upande wenu ni simple yaan nile daku halafu nione njaa hapana bana
Mazoea tu,maana huku nilipo hio daku labda ule saa nne usiku ikifika saa sita siku mpya .Wewe ukilala ukipitiliza mda wa daku utapata taabu sana.
Morning sis.
Nilishawai kuamka saa moja asubuhi alafu daku lilikua limesimama sana hiyo siku basi nikaona usinitanie, nililitafuta giza kwa nguvu zote kwa kufunga madirisha kwa mapazia mazito. Giza lilivyotokea nikala alafu nikalala tenaWewe ukilala ukipitiliza mda wa daku utapata taabu sana.
Morning sis.
Chimpumu inalewseha hata mbege kama haupo vizuri chali makundi ya pombe pia haya
Wachaga buana.Chimpumu na Mbege zimo?
Hahah! ushajua kipengere pendwa kabisa ndio tatizo....Hapo sauwa. Ila mmh dave si ununue miwani ya mbao uvae utaweza tu hahahah
Nani mchaga sasa?Wachaga buana.
Hii uliforce kingiπππNilishawai kuamka saa moja asubuhi alafu daku lilikua limesimama sana hiyo siku basi nikaona usinitanie, nililitafuta giza kwa nguvu zote kwa kufunga madirisha kwa mapazia mazito. Giza lilivyotokea nikala alafu nikalala tena
A very good morning to you too bro.
Shimboni shafo Frag πββοΈπββοΈπββοΈNani mchaga sasa?
A very good morning to you too bro.
Dah.. Bradha mi sina hata chembe ya uchaga labda NumbisaShimboni shafo Frag πββοΈπββοΈπββοΈ
Haya sis, usihofu.Dah.. Bradha mi sina hata chembe ya uchaga labda Numbisa