Hofu ya nini sasa?Haya sis, usihofu.
HahahHii uliforce kingi😀😀😀
Salama lakini?
Ila daku si saa tisa au sakumi alfajiri?Mazoea tu,maana huku nilipo hio daku labda ule saa nne usiku ikifika saa sita siku mpya .
Morning too bradha.
Usijali, nimekuelewa🙂Hofu ya nini sasa?
Naona unataka kutuharibia asubuhi😁"Ningeweza kuwaongezea elfu tano tano au elfu kumi, kesho tu bidhaa zingeanza kupanda bei hivyo lazima kwanza tujenge uchumi imara, mimi mwenyewe nilikuwa mwalimu na ndiyo maana nikaenda kuoa mwalimu mwenzangu anayejua shida zetu" - Rais Dk. John Magufuli. #KwanzaHabari
Kwani wewe ni mpare vile? Mi sio mtani buanaUsijali, nimekuelewa🙂
Ndio kufanyaje huku?Kuvunja jungu hairuhusiwi Numbisa 😁
Good MorningView attachment 1087511
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Good morning to you too bro.Good morning
Aisee!Nilishawai kuamka saa moja asubuhi alafu daku lilikua limesimama sana hiyo siku basi nikaona usinitanie, nililitafuta giza kwa nguvu zote kwa kufunga madirisha kwa mapazia mazito. Giza lilivyotokea nikala alafu nikalala tena
🤣🤣🤣 unataka kuvunja jungu? ufundishwe?Ndio kufanyaje huku?
Hapana, ni nini maana yake?🤣🤣🤣 unataka kuvunja jungu? ufundishwe?