Dah! Hii dini safi sana!!
Haina mapumziko mkiwa ndani ya ndoa tena hilo tendo linahesabika kama ibada kwahiyo muda wowote utakao unaosha tu
Babe wachana na Fragg, hajui vile wapi tumetoka! Just Ignore HerImebidi nikatafute hizo lyrics za huu wimbo [emoji16][emoji16]
Wataalam wamesema ni kuvunja jungu.
Weekend ipo poa sana Bro, ni vile hatuwezi nunuliana Wine hapa. Tungeshaa agiza sikuu mingi!Kazi ipo.
Salama bro?Weekend inaanzaje?
πBabe wachana na Fragg, hajui vile wapi tumetoka! Just Ignore Her
Hajui huyo.. yeye mchana anabanjua tu ..Yaani hata kwenye mfungo hamchukui kadi za club ya wagumu?
Weka address tufanye mambo π π πWeekend ipo poa sana Bro, ni vile hatuwezi nunuliana Wine hapa. Tungeshaa agiza sikuu mingi!
Agiza Caps ntakuja lipiaWeekend ipo poa sana Bro, ni vile hatuwezi nunuliana Wine hapa. Tungeshaa agiza sikuu mingi!
Usiwanufaishe wengine, akumbuka tushapeana kitambo! Thou yako sikumbuki!?Weka address tufanye mambo π π π
I dont believe You,Agiza Caps ntakuja lipia
What's that red/pink/rose thing there?Beetroots?
Why not?I dont believe You,