Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DT
GYIGLL6GCA5DRCXHSXQPKMEVZE.jpeg
 
KANYE WEST AWAPA MASHARTI INSTAGRAM ILI ARUDI KWENYE MTANDAO HUO. Rapa Kanye West amewapa masharti mazito wamiliki wa mtandao wa Instagram. Kupitia kwenye mtandao wake wa Twitter ameandika ujumbe akiwataka wamiliki wa mtandao huo kuondoa sehemu ya Followers na Likes kwenye page yake ndio ataweza kujiunga kwani haoni maana ya hilo jambo kuwepo.
 
Back
Top Bottom