myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana wa kula
HahahahaView attachment 1087765
JE YULE BINTI MPOLE HABARI HIZI ANAZO ????
Hahaha..Dada, hapo nimeelewa hicho kingereza tuu.
This is OBAMA😎
Hahahaha
#uchokozihuo
😂 Hataki laiki?KANYE WEST AWAPA MASHARTI INSTAGRAM ILI ARUDI KWENYE MTANDAO HUO. Rapa Kanye West amewapa masharti mazito wamiliki wa mtandao wa Instagram. Kupitia kwenye mtandao wake wa Twitter ameandika ujumbe akiwataka wamiliki wa mtandao huo kuondoa sehemu ya Followers na Likes kwenye page yake ndio ataweza kujiunga kwani haoni maana ya hilo jambo kuwepo.
Hahaha nilijua Tu wewe Jana umetunyazisha hapa na habari za Ronaldo
Kanye akili zake anazijua mwenyewe😂 Hataki laiki?
Mmmh.. nilipolelewa hakukuwa na exposure ya hiyo kitu Mkuu..Umeshaionja ivi hata kapuff kamoja? 😀 😀 😀
Akanyee magharibi huko.. kwamba yeye superstar sanaaaa... kwahiyo wabadili kwa ajili yake tu?Kanye akili zake anazijua mwenyewe
...😂 Hataki laiki?
Karibu lunch..Tukaribishane bana.
Hahahhaa kumbe uliona
😁Na Uganda wamehalalisha kumbe?Nilidhani ni Zimbabwe tuu.
True that😎😎😎 Busara na hekima ni za muhimu sana katika maisha.
Not yet, may be we should find a coffee shop one day.I can not imagine Frags under the influence of wid.Mmmh.. nilipolelewa hakukuwa na exposure ya hiyo kitu Mkuu..
So Nooo...
Have you?
Basi tena, hadi siku nyingine.Karibu lunch..
Ila nipo step 7 ya kuosha vyombo😁