Step 6Haya nasubiria STEP 6
Ni kikorea , kijapan au kichino?
Bangi ni dawa ..na imehalalishwa kulimwa UgandaYa kweli haya wadau?View attachment 1087762
Duh!Kadiri unavyozidi kubugia pombe ndipo kiwango cha pombe kinavyozidi kupanda na mpaka kufikia kiwango cha kuleta madhara mwilini.
Tukaribishane bana.Ni kikorea , kijapan au kichino?
Na Uganda wamehalalisha kumbe?Nilidhani ni Zimbabwe tuu.Bangi ni dawa ..na imehalalishwa kulimwa Uganda
Bongo on way too sababu 2020 nachukua jimbo nikapiganie hiyo kitu pale idodomyaBangi ni dawa ..na imehalalishwa kulimwa Uganda
Duh!!
He!!
Umeshaionja ivi hata kapuff kamoja? 😀 😀 😀Bangi ni dawa ..na imehalalishwa kulimwa Uganda
Dada, hapo nimeelewa hicho kingereza tuu.Ni kikorea , kijapan au kichino?