Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
  • Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali ya Tanzania kujaribu kuweka mawaziri wenye elimu ya darasa la saba kwa sababu wizara ya maji imekuwa na mawaziri maprofesa lakini wameshindwa kuondoa tatizo hilo nchini.
Maprofesa na wataalam wengine waone aibu, wanakubali kufanya kwa msukumo bila kujali taaluma zao. Lawama zote zinawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…