Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Haiwezekani tangu 2015 hakuna majibu, najitahidi kuchagua wasomi lakini nao wananiangusha na wote wapo katika wizara moja. Waziri aliyepo (Joyce Ndalichako) ni Profesa, ndiye wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Chuo hiki cha Must kiko chini ya wizara yake, TCU iko chini ya wizara yake mnaweza mkaelewa mkanganyiko ulivyo"- Rais Dk.John Pombe Magufuli #KwanzaHabari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…