hahahahahaaaa liverpool mumekuwa bora kuliko sisi nyakati hizi.Hata kwenye jiji la Manchester jogoo hilo huwika
Hata hivyo kitu kinachoweza kuinyima ubingwa Liverpool mwaka huu ni ubora wa ligi hiyo.jogoo kama atashindwa kubeba ubingwa msimu huu mpira utakuwa haujatenda haki kwa sababu mumecheza vizuri sana kama team, msimu uliopita mulitegemea zaidi nguvu ya mtu mmoja tofauti na msimu huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nmecheka sana,wabongo tunafeli sana aisee,kwamba watu wanaenda kusearch new date[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Harusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
ni kwa sababu ya mfumo wetu wa maisha ya kimasikini unatokanwa zaidi na kushindwa kwa serikali ndio umetujenga tuwe na tabia za kupapatikia kila jambo, unamaliza degree yako hujui hata ujiegemeze eneo gani.Kibongobongo ni sawa tu. Bongo wengi ni Developers.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwenye soka la Ulaya uwekezaji hasa yafaa uanzie kwenye eneo la ufundi.hahahahahaaaa liverpool mumekuwa bora kuliko sisi nyakati hizi.
dah muda unakwenda mbio sana.
wekeza vizuri ule vizuri
Hii ni shida tuko nayo! Afadhali basi watu kama hawa serikali ingewapigia pande Nchi za watu, maisha yange kuwa rahisi mno!ni kwa sababu ya mfumo wetu wa maisha ya kimasikini unatokanwa zaidi na kushindwa kwa serikali ndio umetujenga tuwe na tabia za kupapatikia kila jambo, unamaliza degree yako hujui hata ujiegemeze eneo gani.
ni shida tupu.matokeo yake unajikuta huna utofauti na mwanamke kahaba anayetumiwa kwa style tofauti
database upo wewe
coder wewe
developer wewe
language zote unataka kuzisoma wewe
web development upo wewe
android upo wewe