mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli kabisaMaisha kama gwaride kuna mwisho na wa kwanza ikisikika nyuma geuka wamwisho anakua wa kwanza
Safari ya matumaini inaendelea kivingine ndani ya CCMSafari ya matumaini ilifia wapi sijui
Salama mzee wa liver,habari za siku mbili tatu??Mkuu mambo vipi
Nilidhani ungetumia fursa! Hapo yule Mzee wa Buyenze hasinge muacha.Nitaomba nipewe siti nyingine au wanirudishie nauli yangu nipande gari nyingine
Kuna watu wanaishi maisha ya kishirikina, kwamba hafi mtu basi amerishwa sumu, amerogwa nk.Mkuu kifo hakikwepeku,zilikuwa zimefika tu
Sioni kuhusika kwake kwenye kifo hiki muda ulifika wa Ku RIP mzee basiWatu wanajifanya kukisahau kifo.
Kifo hakipigi hodi wala hakichagui
Mkuu niaje habari za weekend
Mkuu nimekuwa mtu wa safari safari sana niaje lakiniNipo sawa Mkuu, sijakuona ukitokea jana!
Watoto walibana sana ..
nitaichukua kama assignment kwa sasa
Mama wa TaifaMaria Nyerere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww mbona hujitaji broJe huyu Ningendako yupo kundi gani
Nilidhani ungetumia fursa! Hapo yule Mzee wa Buyenze hasinge muacha.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseenitaichukua kama assignment kwa sasa
Mkuu niaje mambo vipinitaichukua kama assignment kwa sasa
Sijambo sana Mzee wa Liver .. Tulikukosa kiana humu ndani.Mkuu nimekuwa mtu wa safari safari sana niaje lakini
Bingwa wa EPL atajulika final day hii imekaa vizuri kwa kweli sijui kesho akina Vardy watatubeba amaIlikua ngumu ila kama ujuavyo, jogoo hajawahi kufa kwa utitiri na sterring hafi mpaka picha liishe.
Mapambano yanaendelea mpaka dakika ya mwisho