Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
KIBASIRA
Hahahahaha kyu hyunok bwana wang guhn au kyu hyun?
Nimefurahi sana kujua umepita pia Chimbo hilo Bro!Hahaha those were the old times Daah
Mahangaiko nisehemu ya Maisha [emoji23][emoji23][emoji23] bro
[emoji23][emoji23][emoji23] kivipi mkuu, mbona wapo hapa mashabiki wa timu nyingine!!mashabiki wa manchester united tunajifanya tupo bize na huu uzi wa likes
Hahahahaha naona mmeamia Barca sasamashabiki wa manchester united tunajifanya tupo bize na huu uzi wa likes
Wachaga kwa pesa ni shidaNadhani kuna namna ya kutaka kumnyima baadhi ya haki zake, kwahiyo wanajaribu kuanza kumtenga
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah City adrop tena??
Tufanye hivi kila mtu ashinde mechi zake alizobakiza tutajua bingwa ni nani,tusiombeane mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mwanzo wa kutumia Viagra Pr naye aangalieYeah wazee hawa wanashinda kuukubali ukweli kwa mfano hata Professor nae atakuwa anasaidiwa na vijana
Kupindua Matokeo haiwezekani hii Mzee wa liver pale Anfield lazima Messi apate Goli hata mbili
hahahahaa hata tukishinda top 4 ni ngumu kuingia, uzi wa manchester united upo kimya na si jambo la kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23] kivipi mkuu, mbona wapo hapa mashabiki wa timu nyingine!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
ni mwendo wa kula jongoo hata kama hupendi, tumepoteza muelekeoHahahahaha naona mmeamia Barca sasa
Hahahahaha sawa bhana kila mtu ashinde zake nikikumbuka gape la points 7 roho inaniuma kweli all and all tulikuwa na msimu mzuri 95+ bado uwi bingwa kweli hii ni EPLHahah City adrop tena??
Tufanye hivi kila mtu ashinde mechi zake alizobakiza tutajua bingwa ni nani,tusiombeane mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua wanawake wa kimachame husemwa kuwa na tabia zaa kuua waume zao ili wajitwalie mali, kwahiyo kifo cha ghafla cha tajiri Mengi kinawafanya wadhani kila mwanamke ana tabia za kimachameWachaga kwa pesa ni shida
Game na WHU ,Man U zilikuwa za kushinda sio Draw zimetukost sanaLiverpool,,,nawaona kama hawana tofauti na ile methali isemayo "mtaka yote hukosa yote "[emoji23][emoji23][emoji23]
alikuwa anamwita jaebujoHahahahaha kyu hyun
Mkuu naomba nikumbushe jina la yule msaidizi mkuu wa King Daeso katika Kingdom of winds
Jewel in a palace umebahatika kuona hiyo series
Top 4 kwa united naona ngumu kabisa Jana Spurs kapigwa tena amebaki na point zake zile zile 70hahahahaa hata tukishinda top 4 ni ngumu kuingia, uzi wa manchester united upo kimya na si jambo la kawaida.
cole williams ameamua kujificha kwenye uzi wa likes.
bado naukumbuka ushauri wake aliotoa kwenye thread ya man utd.
kuliko kutumia nguvu kubwa kushindana uefa ni bora tuelekeze nguvu kwenye ligi kuu
Nimefurahi sana kujua umepita pia Chimbo hilo Bro!
spurs ni lazima amfunge everton mechi ya mwishoTop 4 kwa united naona ngumu kabisa Jana Spurs kapigwa tena amebaki na point zake zile zile 70