Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa ni shujaa kusema kweli kishawahi kulazwa lupango kwa zaidi ya wiki mbili kwa kutetea uhuru wa habari nchini hasa kipindi hiki ambapo udikteta unashamiri kwa speed kubwa sana. Pamoja na hayo bado hajatetereka kusimamia uhuru na haki ya Watanzania katika kujadili mambo mbali mbali yanayohusu nchi yetu yawe mabaya au mazuri. Natumai historia ya Tanzania itamtendea haki kubwa sana ambayo anastahili.

Kazi kwelkwel
 
Image may contain: indoor
 
Kalori 240 (184 inatokana na mafuta)
Miligramu 11 za sodiamu
Gramu 13 za wanga
Gramu 10 za nyuzinyuzi za lishe
Gramu 1 tu ya sukari
Vitamini K: asilimia 26
Vitamini C: asilimia 17
Potasiamu asilimia 14
Vitamini B5: asilimia 14
Vitamini B6: asilimia 13
Asidi ya Folate: asilimia 20
Vitamini E: asilimia 10
Virutubisho vyote hivi ni muhimu kwa ajili ya mwili kujijenga na kujilinda dhidi ya magonjwa.
 
Back
Top Bottom