HahahaaNipo ben ten wa isis ,mzima?
Hi BAK 🖐..How was your today?Weyeeeeee!
Kazi kwelkwel![]()
Maxence Melo atoa ya moyoni kuhusu kutekwa kwa Mdude Nyagali!
... hakika Max umenena ukweli mtupu, tupo pamoja sana! #BRINGBACKMDUDE NAMNUKUU: Kumezidi kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu! Katiba yetu inachezewa sana. Hakuna aliye juu ya Katiba; inasikitisha Kama kuna mtu/watu hawaridhishwi na baadhi ya hoja za wenzao wanatakiwa kufanya...www.jamiiforums.com