Aisee uko kwenye kamati ya roho mbayaJirani mambo magumu sana msimu
#BoraJiraniMchukueEplNaSioMajogoo
DuhKuoa vibinti vidogo kuna madhara yake hata kama mzee amekufa kifo cha kawaida 75+ uwezi kwepa kifo ukipata kaugonjwa kadogo tu safari
Kafanyaje huyu dada jamani? Mwacheni bwana ..Kesho macho yote kwa jackline. Labda ajifiche
Ni mrembo sana,Classic!
HeeeeView attachment 1089146Wasukuma hii ni yenu
Nmekutana na Thread twitter wanapost sura zao, ghafla sioni ya kushare hapa.Thread gani Mkuu imeisha?
Walimwengu wampumzishe yule dada alijitahidi kulinda heshima ya mzee hakuwa na skendo.Kesho macho yote kwa jackline. Labda ajifiche
Ni mrembo sana,
Nmekutana na Thread twitter wanapost sura zao, ghafla sioni ya kushare hapa.
Watu wa SA kama sikoseiOkay sura za Wabongo Mkuu?