moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Njema za kwakoSalaam Moudy habari za jpili
Njema za kwakoSalaam Moudy habari za jpili
[emoji1787][emoji1787]Mafuta ya baiskeli yanauzwa wapi?
Kweli lakini kama kuna harufu Fulani mbaya itolewe kabisa naona mwisho wa siku anaweza kuishia pabaya kama kuna sitontofahamu zimalizwe mapemaWalimwengu wampumzishe yule dada alijitahidi kulinda heshima ya mzee hakuwa na skendo.
Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah 🤲🤲[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1089171
Allahadulah 🤲🤲
I phone eeh!
Ila huu msiba umenipa funzo kubwa kuolewa na mtu mwenye nacho ni tatizo mbaya zaidi umkute tayari ana watoto.Kweli lakini kama kuna harufu Fulani mbaya itolewe kabisa naona mwisho wa siku anaweza kuishia pabaya kama kuna sitontofahamu zimalizwe mapema
😍😍😍😍😍😍Home kuna picha yangu iko kama hivi aisee imenikumbusha mbali.Young loversView attachment 1089188
![]()
Maxence Melo atoa ya moyoni kuhusu kutekwa kwa Mdude Nyagali!
... hakika Max umenena ukweli mtupu, tupo pamoja sana! #BRINGBACKMDUDE NAMNUKUU: Kumezidi kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu! Katiba yetu inachezewa sana. Hakuna aliye juu ya Katiba; inasikitisha Kama kuna mtu/watu hawaridhishwi na baadhi ya hoja za wenzao wanatakiwa kufanya...www.jamiiforums.com
Hali inatisha
HahahaView attachment 1089146Wasukuma hii ni yenu
Kama ni ya utoton hongera...utoton mapicha yangu yote ni mitoko ya ckukuu, shule na mpiran tu tena nyingi mchafuu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Home kuna picha yangu iko kama hivi aisee imenikumbusha mbali.