Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi

Watu wengi wanapenda ndizi kwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha madini ya potasiamu, lakini hawafahamu kuwa ndizi ina potasiamu asilimia 10 na parachichi lina asilimia 14. Hivyo parachichi ni bora zaidi.
 
Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah [emoji2969][emoji2969]
Alhamdulillah.
Mwenyezi Mungu atujaalie kuudiriki mwezi wa Ramadhani
 
Huboresha afya ya nywele na ngozi

Naamini umewahi kusikia kuwa parachichi hutumika kutengenezea mafuta ya nywele na ya ngozi; hii ni kutokana na kusheheni vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya ya nywele na ngozi zetu.
 
Numbisa mama ubarikiwe huwa uko vizuri kwenye urembo naamini wew ni Msichana mrembo mno
 
Mwambie basi atupiemo! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1556904765558.jpg
 
Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi

Watu wengi wanapenda ndizi kwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha madini ya potasiamu, lakini hawafahamu kuwa ndizi ina potasiamu asilimia 10 na parachichi lina asilimia 14. Hivyo parachichi ni bora zaidi.
Parachichi lipi unalozungumzia hapa Numbisa??hope sio lile la ankoo [emoji2][emoji2]
 
Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah [emoji2969][emoji2969]
Allihamdulillah [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom