Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Leo leo ushakua sheikh kabisa. Huu mwezi usiishe wasuku wapumzike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Allihamdulillah [emoji120][emoji120]
Leo leo ushakua sheikh kabisa. Huu mwezi usiishe wasuku wapumzike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Allihamdulillah [emoji120][emoji120]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo leo ushakua sheikh kabisa. Huu mwezi usiishe wasuku wapumzike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujawahi nikosea mpendwa,tupo sawa kabsa,ondoa shaka juu ya hilo!!Mpendwa ndugu yangu katika imani kama kuna kosa niliwahi kukosea kwako sorry, tuingie kwenye mwenzi mtukufu tukiwa na amani ya nafsi.
Mwana kuyataka mwana kuyapata,hapa mwishon mwishon baada ya mke mengi kufariki,jack alianza onyesha tabia halisi kutwa kumuuzisha mzee kwa media mara interviews,mara pages insta zinampamba kama bosslady mara #iloveucrazy kule TwitterWalimwengu wampumzishe yule dada alijitahidi kulinda heshima ya mzee hakuwa na skendo.
Ameen, ShukraniHujawahi nikosea mpendwa,tupo sawa kabsa,ondoa shaka juu ya hilo!!
In shaa allah,Allah azifanyie wepesi funga zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo leo ushakua sheikh kabisa. Huu mwezi usiishe wasuku wapumzike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio maana siwataki wazee mambo ya kufa kifuani kwangu nani anataka 🤣🤣🤣🤣kaka zangu nisameheni hii comment sijaandika mimiMwana kuyataka mwana kuyapata,hapa mwishon mwishon baada ya mke mengi kufariki,jack alianza onyesha tabia halisi kutwa kumuuzisha mzee kwa media mara interviews,mara pages insta zinampamba kama bosslady mara #iloveucrazy kule Twitter
Sijamshika mie halafu kwan jackline ni mmoja Tz nzima?Kafanyaje huyu dada jamani? Mwacheni bwana ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro angekuwepo angefurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuanzia kesho nawapumzisha Wasuku[emoji23][emoji23],,leo ya mwisho mwisho,huna vitu vyao vile [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana hacker si mutu muzuri kakutypia mwandiko wangu copiraitiMimi ndio maana siwataki wazee mambo ya kufa kifuani kwangu nani anataka 🤣🤣🤣🤣kaka zangu nisameheni hii comment sijaandika mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee uko kwenye kamati ya roho mbaya
[emoji23][emoji23]Mwambie basi atupiemo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapicha[emoji23][emoji23][emoji23]Atupiamo nini [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani we acha tu mamy 🤣🤣🤣🤣Nimeshangaa post reply tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana hacker si mutu muzuri kakutypia mwandiko wangu copiraiti
AminHujawahi nikosea mpendwa,tupo sawa kabsa,ondoa shaka juu ya hilo!!
In shaa allah,Allah azifanyie wepesi funga zetu
Naunga mkono hojaNumbisa mama ubarikiwe huwa uko vizuri kwenye urembo naamini wew ni Msichana mrembo mno
HahahahaKapicha[emoji23][emoji23][emoji23]