Majibu yote yanaweza kuwa Sawa.Is it Waalaykum or Maa lekum?
imeanza ndugu Leo ni ya kwanzaMzima, vipi Ramadhani imeshaaza pande zenu?
unapaswa uwe na huruma na wafiwa,Sunbae kwenye misiba ndio sehemu wenyewe ya utani yaani misibani ndio watu huwa wanajua maana ya utani
unapaswa uwe na huruma na wafiwa,
leo nimekwenda kwenye msiba wa damushin nimekula wali nyama, ndizi, juisi, pweza, ngisi n.k
kesho nitakwenda tena kula mpaka watani zangu wanifukuze kwa kula sana.
wafiwa watakuchora weee mwisho watajisemea nafsini mwao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sunbae una nini lakini nimecheka kama mwehuwafiwa watakuchora weee mwisho watajisemea nafsini mwao.
"dawa yako ipo jikoni si unajifanya mwehu, siku ya msiba wako tutakesha kwa ngoma kama tupo uchawini na ndani ya jeneza lako tunakutilia nyoka"
Ooh sawa, hiyo ni kama Tanzania.imeanza ndugu Leo ni ya kwanza
Hello my loveHey Babe'
hahahahaaaaa huu ndio muda wetu wa kucheka kwa sababu bado tuna meno mdomoni hivyo basi jisikie huru kucheka hata kama umekaa na mtu mzima aliyebakisha meno matano mdomoni mwake.[emoji23][emoji23][emoji23] sunbae una nini lakini nimecheka kama mwehu
Ngoja ifike mda best πππjioni tujishamaliza futulu#ilevideosiopoa
Ngoja ifike mda best πππjioni tujishamaliza futulu
Natamani niingie Instagram now ila kamoyo kananambia upo kwenye swaumu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mji mzito huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikiliza moyo. Na huko wala hawajaweka wazi wamebaki kutishia nitoe videoNatamani niingie Instagram now ila kamoyo kananambia upo kwenye swaumu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tunapeana mtihani tu kwa sisi tunao penda ubuyu ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikiliza moyo. Na huko wala hawajaweka wazi wamebaki kutishia nitoe video
Leo kwa wengi siku imeharibika maana kuna uzi na picha iliwekwa hoja na habari mchanganyikoTunapeana mtihani tu kwa sisi tunao penda ubuyu ππππ