Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wanaojua uhasimu wa mchezo wa soka ulivyo wanasema Ubingwa wa Man City ni tatizo sana kwa Man U kuliko ubingwa wa Liverpool kwa Man U.
Kumbuka Man City na Man U zipo mji mmoja, achana na sisi huku ambao tunakopi kopi ushabiki

Tatizo Mimi nakutana na wewe humu bora ukose ubingwa wewe kuliko wa huko nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom